How to keep your relationship in tact...

How to keep your relationship in tact...

Bwana Yesu alisema mpende adui yako :A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose: that's for you, and for your eyes only

Sasa mbona "The King, The Pope, Katibu na Mhazini" wote wameona.....?:confused2:
 
Kaka umepotea
ndugu yangu, shida za dunia hii ni nyingi!!! najiandaa maana baada ya uchaguzi na mie mabango yangu yapate flights, si unajua CCM wamechukua karibia yote kwa sasa... siuzi sigara wala pombe siku hizi:biggrin1:
 
Sawa Kaka yangu mimi nilifikiri yule ni mtu mpya kwenye sayari hii jinsi anavyojitangaza, kuna lile sakata la message (nitaku PM nikupe habari zaidi maana wale jamaa watu wangu wa karibu)
 
Back
Top Bottom