How to maintain love

How to maintain love

Amonino

Member
Joined
Feb 13, 2012
Posts
19
Reaction score
1
Jamani mie kla mpenzi huwanagombana nae hdi 2naachana, nn nifanye ili niendelee kumaintain love
 
mbona jibu unalo???jihukumu mwenyewe na ujitendee haki, usijipendelee kwenye hiyo hukumu!!ukishindwa ndo urudi tena
 
Kuwa single maana sio lazima kuwa na mpenzi ila inapobidi...
 
Nini kinafanya mgombane?Jichunguze ndg yangu utakuwa na matatizo kwani haiwezekan ugombane na kila mtu.
 
Angalia chanzo( Root Cause ) cha ugomvi na ukitoe

Usisahau Love is Expensive, hivyo usizikimbie hizo gharama za mapenzi ( Not money only )
 
Back
Top Bottom