Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mm pia haikai vzr !nikahs kwasabb nna nido !yaan hii naifanya wknd aisee !hii lazima ikae vzr
inakaa fresh kwasabb ya uzi !mie ntaleta mrejesho
Oh I see!, Okay..
Sijui kwa nini watu wenye kilo kifuani huwa nawaogopea na strapless bras, nina cousin yuko hivyo halafu mbishi kutinga kama kawa lakini kwa hizi za dukani wasiwasi kibao maana haikai vizuri sana. Basi huwa namuogopea naona kama vile titi linaweza chomokea pembeni..
hhhaaa aisee !anakufa na fashoon!