Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why should i boil? What if i blend and add lemon only and drink?How To Make Natural Viagra Using Only 2 Ingredients
If you want to make your home made Viagra, you will need the main ingredients which are very often available in grocery stores. These ingredients are very potent aphrodisiacs.
Viagra is a powerful drug for men,that is utilized to increase sexual function and performance. Not many people know the secret, that it can also be made at home.
Necessary ingredients for homemade Viagra:
Watermelon consists of different nutrients and has aphrodisiac properties which includes Citrulline and Lycopene. You should not use sugar, salt, spices or any other flavors, which can reduce the power of the two main ingredients.
- Watermelon
- Lemon
You should cut the watermelon into small pieces and put the pieces into a juicer in order to obtain about one liter of watermelon juice. The white stuff inside the shell of watermelon is also very high in concentrated Citrulline and should not be wasted and need to be juiced.
Pour the juice into a pot. Leave it to boil for a few minutes then squeeze the lemon juice into the pot. Mix it well with the boiling watermelon juice. You should continue boiling until most of the liquid evaporate and the content in the pot reduce to about half.
Leave it to cool down for about an hour or so.After that, transfer the potion to a washed and cleaned glass bottle and store it in a cool and dry place such as a refrigerator.
You should take this drink on an empty stomach, early in the morning and before dinner and anywhere between 2 tablespoons to 1/3 of the cup. This depends on the body weight and size. This homemade Viagra is safe and potent for people of all ages and genders
Mkuu umetoa ya moyo ni kabisa!Jamani usijitese bure sometimes unakutana na gogo kama lilopo pembeni yangu. Hajui hata kuamsha mashine. Yeye anategmea niamke tu.
Sasa hata kama una nguvu vipi kwa mwendo huu utaona huna nguvu maana mzuka haupo.
Jamani,tafuteni wanawake wanaoendana na mahitaji yenu. Say no to magogo!
Wacha tu wakose manake ukiwa mtumia Viagra inafika mahala nayo inashindwa alafu ukijumuisha na side effects zake Yaani dushe linalala jumla ni bora tutumie vitu asilia pengine vitasaidia. Ukitengeneza juice ya beet root na tikiti maji kwa viwango sawa ukaweka na juice limao 1 kubwa pia nayo ni Viagra ya asili. Hicho ni kipimo cha glass moja kubwa. Pia ukiwa viwango sawa vya strawberry, tikiti ukaifanya juice na ukeweka ukakamulia juice ya limao 1 kubwa nayo pia ni Viagra ya asili. Kula karanga mbichi korosho na vitunguu swaumu nayo pia inasaidia bila kusahau kufanya mazoezi, kuepuka vyakula vya mafuta mengi na kua mtulivu wakati wa kubanjuana. Ni vema pia ukajitahidi kunywa maji yaliyochanganywa na ndimu au limao kila wakati ukayafanya km ndiyo maji yako ya kunywa, yakiwa ya baridi yanaburudisha sana na ndimu au limau inaondoa lehemu mwilini kumbuka kua lehemu ni chanzo kikuu cha kusababisha dushe kushindwa kusimama sawasawa kwakua husababisha mzunguko hafifu wa damu mwilini kutokana na kwamba husababisha mafuta kuzunguka mishipa ya damu na kuibana na kusababisha damu kupita kwa shida.Ni ngumu wengi watakosa ajira viagra ni multi-billion project around the world na ni biashara moja kubwa sana
Pili pili inakua booster sababu hufanya damu kua nyembamba/nyepesi na hivyo kupita kwa urahisi kwenye mishipa ya damu.doh! problems how come inakuwa booster
Limao na ndimu zote ni jamii ya matunda citrus ambamo yamo malimao, ndimu, madalanzi au machungua ya farasi, machungua, na machenza. Ndimu na limao zaweza tumika badala ya kila moja au yenzake ie ukitumia ndimu ni sawa na umetumia limau. Ndimu ni ndogo kiumbo kuliko limao na ganda lake ni laini, limao ni kubwa kiumbo kuliko ndimu na ganda lake lina vitu km vipelepele.Ebu naombeni kueleweshwa, limao ni zipi na ndimu ni zipi maana hapa inanichanganya kidogo
Usije kuta mleta mada ana bisshara ya watermelon katafuta namna ya kuongeza thamani ya bidhaa yake.Ila yamepanda bei tayari from buku to buku tano
Sio kweli, huwezi kutumia ndimu badala ya limao, nivitu viwili tofauti na kemical content tofautiLimao na ndimu zote ni jamii ya matunda citrus ambamo yamo malimao, ndimu, madalanzi au machungua ya farasi, machungua, na machenza. Ndimu na limao zaweza tumika badala ya kila moja au yenzake ie ukitumia ndimu ni sawa na umetumia limau. Ndimu ni ndogo kiumbo kuliko limao na ganda lake ni laini, limao ni kubwa kiumbo kuliko ndimu na ganda lake lina vitu km vipelepele.
Google ED utayakuta haya yote.Usije kuta mleta mada ana bisshara ya watermelon katafuta namna ya kuongeza thamani ya bidhaa yake.
Mm naona ni sawa lkn kama chemistry yake ni tofauti naomba utiririke tupate elimu zaidi.Sio kweli, huwezi kutumia ndimu badala ya limao, nivitu viwili tofauti na kemical content tofauti
Limao lina citric acid ndimu hainaMm naona ni sawa lkn kama chemistry yake ni tofauti naomba utiririke tupate elimu zaidi.
poa nikipona nitakutafuta dadaake, tufanye majaribio mara mbili tatusoma tafsiri kwenye post