How to make natural viagra using only 2 ingredients

Why should i boil? What if i blend and add lemon only and drink?
 
Mkuu umetoa ya moyo ni kabisa!
 
Ukitaka kupiga hela siku hizi basi tangaza una dawa za kiume.

Nakumbuka zamani mabango ya waganga yalikuwa yanatangaza kusindika nyumba na vitu vingine. Lakini siku hizi ni dawa za kuongeza nguvu na kumvuta mpenzi.

Sijui what went wrong. Kuna facts tatu ambazo wanaume hawajui

1. Wanaume tumeumbwa tofauti. Ukubwa wa ukuni na kazi zetu ni tofauti. Hatuwezi kuwa sawa hata siku moja. Mbeba zege au wale wanaobeba mizigo kariakoo huwezi kulinganisha na mwanaume wa ofisini kwenye mapigo.

2. Sio lazima mwanaume upige mabao 2 mpaka 7. Inategemea na mwanamke wako. Wanawake wengine akiridhika kimoja tu hataki tena. Kwa maana hiyo ukiendelea sana sana unamuumiza tu.

3. Mawasiliano ni muhimu kati ya mwanaume na mwanamke ili kujua kama kila mmoja ameridhika.
 
Ni ngumu wengi watakosa ajira viagra ni multi-billion project around the world na ni biashara moja kubwa sana
Wacha tu wakose manake ukiwa mtumia Viagra inafika mahala nayo inashindwa alafu ukijumuisha na side effects zake Yaani dushe linalala jumla ni bora tutumie vitu asilia pengine vitasaidia. Ukitengeneza juice ya beet root na tikiti maji kwa viwango sawa ukaweka na juice limao 1 kubwa pia nayo ni Viagra ya asili. Hicho ni kipimo cha glass moja kubwa. Pia ukiwa viwango sawa vya strawberry, tikiti ukaifanya juice na ukeweka ukakamulia juice ya limao 1 kubwa nayo pia ni Viagra ya asili. Kula karanga mbichi korosho na vitunguu swaumu nayo pia inasaidia bila kusahau kufanya mazoezi, kuepuka vyakula vya mafuta mengi na kua mtulivu wakati wa kubanjuana. Ni vema pia ukajitahidi kunywa maji yaliyochanganywa na ndimu au limao kila wakati ukayafanya km ndiyo maji yako ya kunywa, yakiwa ya baridi yanaburudisha sana na ndimu au limau inaondoa lehemu mwilini kumbuka kua lehemu ni chanzo kikuu cha kusababisha dushe kushindwa kusimama sawasawa kwakua husababisha mzunguko hafifu wa damu mwilini kutokana na kwamba husababisha mafuta kuzunguka mishipa ya damu na kuibana na kusababisha damu kupita kwa shida.
 
Ebu naombeni kueleweshwa, limao ni zipi na ndimu ni zipi maana hapa inanichanganya kidogo
Limao na ndimu zote ni jamii ya matunda citrus ambamo yamo malimao, ndimu, madalanzi au machungua ya farasi, machungua, na machenza. Ndimu na limao zaweza tumika badala ya kila moja au yenzake ie ukitumia ndimu ni sawa na umetumia limau. Ndimu ni ndogo kiumbo kuliko limao na ganda lake ni laini, limao ni kubwa kiumbo kuliko ndimu na ganda lake lina vitu km vipelepele.
 
Sio kweli, huwezi kutumia ndimu badala ya limao, nivitu viwili tofauti na kemical content tofauti
 
Sio kweli, huwezi kutumia ndimu badala ya limao, nivitu viwili tofauti na kemical content tofauti
Mm naona ni sawa lkn kama chemistry yake ni tofauti naomba utiririke tupate elimu zaidi.
 
Mm naona ni sawa lkn kama chemistry yake ni tofauti naomba utiririke tupate elimu zaidi.
Limao lina citric acid ndimu haina
Limao hufanya mwili uwe alkaline (hutibu) ndimu huufanya mwili kuwa acidic (ugonjwa)
Limao ina taste sweet and sour (chanchu na tamu) Ndimu ni bitter ( chungu)
Limao lina vitamic c zaidi kuliko ndimu
Limao linatumika kufanya usafi mbalimbali wa nyumbani Ndimu utaharibu nyumba ukitumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…