How to Microfinance in Tanzania.

How to Microfinance in Tanzania.

ila usiogope sio lazima utimize vyote unaingia vitani halafu vingine utapigana vita kiume kwa kadri itakavyokuwa inakwenda. hivyo kama umedhamilia we ingia tu wakati mwingine tunatoa ushauri ambao unaweza kukutisha na usiweze kufanya kwa kuwa wengi ya watu wenye uelewa mara nyingi ni waoga kupata hasara kwa hiyo muda mwingi tunashauri kucontrol risks.
binafsi nilifanya kwa kiwango kidogo kimyakimya bila kusajiri wala nini ili nione changamoto zake kwanza kwakweli ilinilipa japo mwisho walikimbia na madeni yangu na niliwaacha sikuwafatilia tena kwakuwa mtaji wangu nilishatoa na faida nilishapata.
hivyo anza kimya kimya pia.
kingine ni vizuri kuwa na wateja wa kipato cha chini wengi kuliko wa kipato cha kati kwakuwa hawa watakusumbua na wana lugha nzuri za kukushawishi wasilipe kwa wakati. japo pia unahitaji kuwa mkali kwa kwa biashara hii vinginevyo utavuna mabua.
Shukrani kaka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom