Sam pizzo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 846
- 521
Habari ya majukumu wanajukwaa?
Naomba kujua Kama naweza kufungua akaunti ya benki kupitia njia ya mtandao nikiwa nje ya nchi na pia ushauri wa benki nzuri inayofaa kufungua akaunti nikimaanisha kwa upande wa upatikanaji mzuri wa huduma zao na kiwango cha riba.
Natanguliza Shukrani.