How to open Banc A/c via online...

How to open Banc A/c via online...

Sam pizzo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
846
Reaction score
521
Habari ya majukumu wanajukwaa?

Naomba kujua Kama naweza kufungua akaunti ya benki kupitia njia ya mtandao nikiwa nje ya nchi na pia ushauri wa benki nzuri inayofaa kufungua akaunti nikimaanisha kwa upande wa upatikanaji mzuri wa huduma zao na kiwango cha riba.

Natanguliza Shukrani.
 
Vitambulisho?? Dole gumba?? Digital signatures..ngumu sana kibongo bongo...Barua ya serikali ya mtaa, mara wadhamini..

Aah tutafika tu..

Everyday is Saturday....................... 😎
 
standard chatterd unaweza kufungua account online then card wanakuletea nyumbani
 
Back
Top Bottom