Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rejea hapo juu hili neno linatamkwaje ? Je ni Wawi, Wawe.. au ?
jifunze kuwa mungwana,
Wewe Ni
Uko serious jibu hulijui au unatupima?Linatamkwa wah+way au kibongobongo "wawe" end of business.Rejea hapo juu hili neno linatamkwaje ? Je ni Wawi, Wawe.. au ?
Uko serious jibu hulijui au unatupima?Linatamkwa wah+way au kibongobongo "wawe" end of business.
Ok,no problem inatamkwa kama nilivyoielezea incase ulikuwa hujui mwanzo.Ajabu ipo wapi kutokujua ? vitu vinatamkwa tofauti kutokana na origin ya kitu mfano wewe unaweza ukawa unamwita Kocha wa Arsenal (Wenger) ukamuita Wenga ila wenyewe wafaransa watakwambia ni (Venga) au Thiery Henry ukamuita Henri ila usishangae wenyewe wanamuita Honre kwahio haya mambo mkuu inabidi kuuliza kwanza sababu hata Peugeot bila kuambiwa wewe unadhani utaitamkaje