Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Baada ya kuona review kadhaa nimeona nifungue account ds. Sasa Code niliotumiwa nikiingiza inasema invalid code. Nimejaibu mara ksdhaa bado imegoma. Baadhi ya system huwa code no ikigoma huwa inakutumia code nyingine ila hii sio suluhisho. Nini inaweza kuwa tatizo, ushauri tafadhali.