HOW TO SOLVE DEEP SEEK REGISTRATION CODE ERROR

HOW TO SOLVE DEEP SEEK REGISTRATION CODE ERROR

Tangantika

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2018
Posts
5,586
Reaction score
7,087
Baada ya kuona review kadhaa nimeona nifungue account ds. Sasa Code niliotumiwa nikiingiza inasema invalid code. Nimejaibu mara ksdhaa bado imegoma. Baadhi ya system huwa code no ikigoma huwa inakutumia code nyingine ila hii sio suluhisho. Nini inaweza kuwa tatizo, ushauri tafadhali.
 
Jaribu kuingiza code kwenye kifaa kingine ili kuona kama tatizo ni kwenye kifaa chako.
 
log in with google sikupata step ya code kabisa
 
Back
Top Bottom