how to stop Lionel Messi ( funny pics)

how to stop Lionel Messi ( funny pics)

Munru

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
1,340
Reaction score
666
huyu jamaa hakamatiki, ni another level,
nadhani kwa kizazi hiki hakuna mchezaji anaemgusa,
ha suggested way ya kumzuia ni kama inavyoonekana kwenye picha lol

524249_10150632833398564_247461943563_9402522_1790136156_n.jpg

na kama unafikici cr. 7 ni mkali unajidanyanga, na madrid hawana uwezo wa kuwafunga Barca hata wangekuwepo ronalod 3 , as long as Messi yupo , still madrid wangelala tu ,
the only way madrid kuwashinda barca labda iwe ivi :

426943_10150615811063564_247461943563_9343314_1689683664_n.jpg
 
mbona naona Casillas pale katanua tobo?unamjua Messi kweli wewe?pale anapitisha kabisa
 
Back
Top Bottom