General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Kifo kizuri sana wit, yani naisubiri hiyo siku kwa hamu kubwaa!!Hawana stress? Kifo kinaogopesha bana, sababu hakuna aliyevuta afuu akarudi angalau akatutia moyo basi[emoji15] .....hapo ndo panapogopesha!
Akuu....asee mi naogopa kifo jamani mweeh! Basi tu kwakuwa ni lazima sina option!Kifo kizuri sana wit, yani naisubiri hiyo siku kwa hamu kubwaa!!
Usiogope kifo hata kidogo
Ila kufa,kula,kulala Na kwenda chooni Mungu alituweza huwez kimbia hapo hats kidogo. Hua nawaza sana eti nawekwa ndan ya sanduku nafukiwaa.Mmmh..siku hizi hawasemi...ni hela tu inayotrend mwanzo mwisho[emoji23]
Haahaaa....acha fix hakuna ajuae siri ya kifo only muumba tu! Na alituweza asee!Ila kufa,kula,kulala Na kwenda chooni Mungu alituweza huwez kimbia hapo hats kidogo. Hua nawaza sana eti nawekwa ndan ya sanduku nafukiwaa.
inasemekana ukishazikwa unarudishiwa uhai wako unaanza kupambana Na joto la ndani ya sanduku. utapata tabu sana
weww husikilizi mawaidha ya shekheHaahaaa....acha fix hakuna ajuae siri ya kifo only muumba tu! Na alituweza asee!
Yaan ingekuwaga mtu anakufa then anarudi na wabongo kwa kuongeza chumvi stori asee pasingekalika! Ingekuwa total disaster!
Swali langu...huyo shekhe alishakufa akarudi? Au tunalishana udambwi udambwi hapa!weww husikilizi mawaidha ya shekhe
wee muhaya wwSwali langu...huyo shekhe alishakufa akarudi? Au tunalishana udambwi dambwi hapa!
Jibu swaliwee muhaya ww
what a peaceful deathSilently in public, I would like people to see my soul coming out from my body
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila swami ni lakujibu, sio kila vita ni ya kumbana.Jibu swali
Sasa kumbe unajua ni fix....huwa unasikiliza vya nini?Sio kila swami ni lakujibu, sio kila vita ni ya kumbana.
hats she he hajawahi kufa Ila fix nyingi sijui nyoka Mara Israel. hakuna Israel wala nini
Ukifa miaka kadhaa ukafufka leoutajua labda ulila Jana. ndivyo ilivyo biblia inasema mfu hujui lolote wala kusikiaSasa kumbe unajua ni fix....huwa unasikiliza vya nini?
Hakuna aliyekufa akarudi hata kwa bahati mbaya na ndio hapo kuna siri nzito!
Sijakuelewa?Ukifa miaka kadhaa ukafufka leoutajua labda ulila Jana. ndivyo ilivyo biblia inasema mfu hujui lolote wala kusikia
miaka buku kwa mfu ni sawa Na siku moja. hats Abel akifufuka Leo atajua alila Jana ndio anaamka. ushasoma kiss cha Six Sleepers au kuona muvi take?Sijakuelewa?
Sasa ukifufuka baada ya 1000 years unakuwa wit yuleyule au tofauti?miaka buku kwa mfu ni sawa Na siku moja. hats Abel akifufuka Leo atajua alila Jana ndio anaamka. ushasoma kiss cha Six Sleepers au kuona muvi take?
nikushauri tu kwa nia njema, vitriol haina ku-backfire.kuchunwa ngozi au kuchomwa moto.
kitu wowote ile inayouma.
afu niko serious mjue.