How would you like to die?

How would you like to die?

Mmmh..siku hizi hawasemi...ni hela tu inayotrend mwanzo mwisho[emoji23]
Ila kufa,kula,kulala Na kwenda chooni Mungu alituweza huwez kimbia hapo hats kidogo. Hua nawaza sana eti nawekwa ndan ya sanduku nafukiwaa.
inasemekana ukishazikwa unarudishiwa uhai wako unaanza kupambana Na joto la ndani ya sanduku. utapata tabu sana
 
Haahaaa....acha fix hakuna ajuae siri ya kifo only muumba tu! Na alituweza asee!

Yaan ingekuwaga mtu anakufa then anarudi na wabongo kwa kuongeza chumvi stori asee pasingekalika! Ingekuwa total disaster!
 
nadhani kwenye hili Mshana Jr atakua na maelezo ya ziada
 
Sio kila swami ni lakujibu, sio kila vita ni ya kumbana.

hats she he hajawahi kufa Ila fix nyingi sijui nyoka Mara Israel. hakuna Israel wala nini
Sasa kumbe unajua ni fix....huwa unasikiliza vya nini?

Hakuna aliyekufa akarudi hata kwa bahati mbaya na ndio hapo kuna siri nzito!
 
Ukifa miaka kadhaa ukafufka leoutajua labda ulila Jana. ndivyo ilivyo biblia inasema mfu hujui lolote wala kusikia
 
miaka buku kwa mfu ni sawa Na siku moja. hats Abel akifufuka Leo atajua alila Jana ndio anaamka. ushasoma kiss cha Six Sleepers au kuona muvi take?
Sasa ukifufuka baada ya 1000 years unakuwa wit yuleyule au tofauti?
 
Back
Top Bottom