Car4Sale Howo Tipper 380hp

Car4Sale Howo Tipper 380hp

Kakondele

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
238
Reaction score
214
Ongezeka Trading Co limited

Tunakuletea Howo tipper lenye hp 380 (Refubrished) kwa Tzsh mil 130 pamoja na ushuru,
Kwa wale wanaohitaji kulipia kwa njia ya installments maelewano yapo.

Pia unaweza kuagiza nasi magari ya kichina na mitambo kwa gharama nafuu mapya na used na spea zote za mabasi ya kichina zipo
Mawasiliano zaidi
Call,sms au whatsap 0759399805

Haya magari usinunue kila mahali kuna wauzaji wakishakuuzia hawatazami nyuma gari ikiharibika,kwa wateja wanaofahamu quality ya after sell service kwetu, tuna maduka ya vipuri halisi vya haya magari


4cc2d22230a24ed89a026931173dd6be.jpg
ba0b1af3214a4fc8a7f1bee6860066a8.jpg
defc16836cb24c0298dcb8d076dddc6a.jpg
 
Back
Top Bottom