Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Urahisi wa bei na kudumu man ,Hiyo ya Kichina Napenda kununua jipya kabisa .ila kichwa cha scania nitanunua used ila itategemea na wachangia mada watakavyo nishauri mkuu ,Unataka urahisi wa bei au kudumu?
Bora mchina likianza kuharibika na pesa yako imesharudiUrahisi wa bei na kudumu man ,Hiyo ya Kichina Napenda kununua jipya kabisa .ila kichwa cha scania nitanunua used ila itategemea na wachangia mada watakavyo nishauri mkuu ,
Asante sana brooBora mchina likianza kuharibika na pesa yako imesharudi
Scania Inaitaji matunzo sana alafu spare zake ni gharama sana, kwenye maintainance cost lazima ikukamue, kam unaanza ni bora ununue howo au foton mpya ikianza kuzingua utakuwa ushafudisha pesa yakoHello Great Thinkers.
Naomba kuuliza hivi hizi Tractor za kuvuta trailers Ni ipi bora zaidi kati ya hizi za kichina HOWO na Scania ,Ndio Naomba mungu mwaka huu ninunue kichwa kimoja kati ya hizi mbili ,ndio naanza hii biashara GT.Thanks a lot you guys.
Kwa anayejua Agent wa hizi Howo za kichina HOWO please anijulishe .Awe Dar please huyo Ajent.Kama una anza nunua Scania 113.
Huo ni mkataba!
Watu hawajui kuwa pamoja na howo kuwa rahisi lakini haiwezi kurudisha gharama kabla haijaanza tabuKama una anza nunua Scania 113.
Huo ni mkataba!
Kuna Uzi humu jamaa ni agentKwa anayejua Agent wa hizi Howo za kichina HOWO please anijulishe .Awe Dar please huyo Ajent. View attachment 767027
Mkuu naona umekuwa mkali sana boss .Bei ya kichwa cha scania Ni milioni 200 na ushee hivi .Na kichwa cha Howo hakijafika milioni 100 , sio takataka mkuu ,jaribu kuulizia wamiliki wanaotumia hizi Howo za kichina kusafirishia mizigo usikie wanasemaje kuhusu hizi Howo mkuu ,scania ndio truck ya pili qa kua na nguvu na bora ikiwa nyuma ya volvo ss unafananisha takataka howo na scania...
Ok mkuu Nimekuelewa, Ni Scania ngapi umeshaona ziko juu ya mawe na Howo ngapi umeshaziona ziko juu ya mawe ?Hii tabia ya kufananisha Scania ya mavitu ya ajabu achene basi