Howo Vs Scania

Howo Vs Scania

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Hello Great Thinkers,

Naomba kuuliza hivi hizi Tractor za kuvuta trailers Ni ipi bora zaidi kati ya hizi za kichina HOWO na Scania.

Ndio Naomba mungu mwaka huu ninunue kichwa kimoja kati ya hizi mbili, ndio naanza hii biashara GT.

Thanks a lot you guys.
 
Hello Great Thinkers.
Naomba kuuliza hivi hizi Tractor za kuvuta trailers Ni ipi bora zaidi kati ya hizi za kichina HOWO na Scania ,Ndio Naomba mungu mwaka huu ninunue kichwa kimoja kati ya hizi mbili ,ndio naanza hii biashara GT.Thanks a lot you guys.
Scania Inaitaji matunzo sana alafu spare zake ni gharama sana, kwenye maintainance cost lazima ikukamue, kam unaanza ni bora ununue howo au foton mpya ikianza kuzingua utakuwa ushafudisha pesa yako
 
Kama una anza nunua Scania 113.
Huo ni mkataba!
Kwa anayejua Agent wa hizi Howo za kichina HOWO please anijulishe .Awe Dar please huyo Ajent.
IMG-20180505-WA0030.jpg
 
scania ndio truck ya pili qa kua na nguvu na bora ikiwa nyuma ya volvo ss unafananisha takataka howo na scania...
Mkuu naona umekuwa mkali sana boss .Bei ya kichwa cha scania Ni milioni 200 na ushee hivi .Na kichwa cha Howo hakijafika milioni 100 , sio takataka mkuu ,jaribu kuulizia wamiliki wanaotumia hizi Howo za kichina kusafirishia mizigo usikie wanasemaje kuhusu hizi Howo mkuu ,
 
Hii tabia ya kufananisha Scania ya mavitu ya ajabu achene basi
Ok mkuu Nimekuelewa, Ni Scania ngapi umeshaona ziko juu ya mawe na Howo ngapi umeshaziona ziko juu ya mawe ?
SCANIA :JUU YA MAWE NYINGI
HOWO : JUU YA MAWE HAMNA KABISA .
MKUU ELEWA IT IS IMPOSSIBLE KUNUNUA KICHWA CHA SCANIA MPYA
LAKINI UWEZO WA KUNUNUA KICHWA CHA HOWO UPO KABISA NA UNAPATA WARRANTY MIAKA 4 ,SCANIA USED MKUU HAINA WARRANTY IKIFA NA KWISHA HABARI YAKO ,WARRANTY MIAKA 4 SI UMESHARUDISHA HELA YAKO MAN .Ni wazo tuu .
 
Back
Top Bottom