Howo Vs Scania

Uzi bora kabisa.

Vipi mwanzisha mada, Je ulifanikiwa?

Any feedback
 
SCANIA zimeanza kuingia nchini miaka ya sabini, zaidi ya miaka 40 iliyopita, HOWO si zaidi ya miaka 10 iliyopita, unategemea zote ziwe nzima mpaka leo? Hivi kijiji cha zamani na kijiji kipya kipi kitakuwa na makaburi mengi?
finito
 
Very Informative
 
Mwanetu ulifanikiwa kuvuta huo mchuma aise kama ulifanikiwa kuvuta nipe ajira mwanetu
 
Asanteni sana, nilivyoona mnanichanganya niliamua kununua zote mbili(HOWO & SCANIA)
 
Wanyarwanda wao naona wamezielewa Benz zaidi.
 
JIULIZE SWALI DOGO TOO, TRANSPORT COMPANY NYINGI APA BONGO ZNA MILIK SCANIA CHACHE, LKN HOWO LUNDOO, UTAKUTA COMPYA INA FLEET YA GARI 300, ONLY 45SCANIA, THE REST HOWO OR OTHER MAKE. SO HOWO ARE THE BEST, KWA MTAJ MDOGO
Ujengewe sanamu pale keep left ya clock tower ARUSHA mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…