Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Mkuu kama hujui bei ya kichwa cha scania ni bora uwe unanyamaza kuliko kulisha watu matango pori au uliza uambiweMkuu naona umekuwa mkali sana boss .Bei ya kichwa cha scania Ni milioni 200 na ushee hivi .Na kichwa cha Howo hakijafika milioni 100 , sio takataka mkuu ,jaribu kuulizia wamiliki wanaotumia hizi Howo za kichina kusafirishia mizigo usikie wanasemaje kuhusu hizi Howo mkuu ,
Kabla hujanunua tractor angalia kwanza unataka kutumia mazingira yapi hizo horse power si solution ya kukufanya ukimbilie kununua gari wengi wanasema Howo sababu moja tu inakuja mpya na ni 6x4 so kwenye rough road inafanya kazi vizuri kama tope au mchanga matajiri wengi wa kitanzia wananunua scania man volvo na brand nyingine za ulaya ambazo ni ex Uk zinakuja hapa tanzania na 6x2 ukichukua hizi gari mbili kwenye mazingira ya kitanzania lazima uone howo ipo ahead kama unataka ku enjoy brand za ulaya iveco scania man benz volvo ziwe ni 6x4 yaan nyuma difu zote mbili zinavuta ndiyo ufananishe na huyo howo. Gari za kchina zinafanya wengi wawe wagumba vina vibrate sana kama unaendesha tractor [emoji609].
Ukitaka ku enjoy nunua scania ex south ambazo ni 6x4 ingawa sijui unataka ifanye kazi mazingira yapi
Average siku hizi ni horse power 400 kwenda juuNahitaji kununua scania yenye Horse power ngapi please Kwa wanaojua please.
113 kwa mfumo wa kazi za sasa hazimudu kurudisha gharama, na japo kweli spea zake zipo nyingi na ni nafuu, lakini hazidumu sana hivyo downtime ni nyingi na sometimes very costly, three.Ningekuwa wewe ningeenda na scania mninga 113 360/380 spea zake mpaka sokoni unapata. Inakula vizur mafuta
Wengi hawajui kuwa Howo alimuiga hapa msweden akakopi vingine vimemshinda
Ndiyo jimbo la Detroit nipo karibu.
Cummins ni aina ya engine kutoka America, cummins walikuwa ni watu wa kwanza kutumia mfumo wa unit injector, nozzle ambayo injector pump na nozzle zineunaginshwa pamoja na kuwekwa juu ya cylinderMngetufundisha nini maana ya Cummins please.
Michagani ndio jimbo mkuu .Hakuna Jimbo la Detroit unazingua...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Weka mbali na watoto huo mziki mwingineKuna ile migari yenyewe inakuwa na pua ndefu sana inaitwa International. Ile ambayo ikitaka kusimama stop injini yake unaanza kuiskia kilometa 7 nyuma [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tafuta humu kuna uzi jamaa amejipambanua kuwa ni ajentKwa anayejua Agent wa hizi Howo za kichina HOWO please anijulishe .Awe Dar please huyo Ajent. View attachment 767027
Umeona mkuu Kwa kweli sijaona mahali Kuna lugha ya KUKWAZANA ,Kuna watu wanachangia Kwa uelewa wa Hali ya juu kabasa ,Kuna mchangia mada amechangia vizuri sana ,Hii mada ni nzuri
Mkuu zama zimebadilika, na mchina bado yuko nyuma sana kiteknolojia ila watu hawalielewi hilo
Hiyo 6x4 ambayo inasemwa kuwa ni kwa ajili ya rough road ilikuwa miaka hiyo, hata scania zile zilizokuwa zinaundwa hapo kibaha miaka ya 90, zilikuwa ni 6x4 ( 113 310 pamoja na 143 450 zilishawahi kuundwa kibaha)
Kuna aina mbili za 6x2, mid lift, na tag axle , mid lift ni ile ambayo diff ipo nyuma, hizi gari ni kwa ajili ya barabara nzuri tu hazitaki shurba
Mbadala wa 6x4. Ni tag axle , kwa wasioelewa tag ni 6x2 ambayo diff iko katikati , hizi zina u wezo.wa kunyanyua akseli ya nyuma na kuifanya diff ibebe mzigo wote hivo kufanya mgandamizo mkubwa .kwa maana hiyo diff ya tag huwa imekuwa designed kubeba hadi tani 15 , angalia hata clips za truck ulaya utaona tag inatumika katika mazingira magumu .
6x4 ina limitation nyingi sana hasa, moja wapo ikiwa ni uzito , na ulaji wa mafuta, kama mtu ndo anangia kwenye biashara halafu anategemea kulipwa kwa tonnage , 6x4 kaa nayo mbali
Umeelezea vizuri sana broo. Bado hujamalizia hiyo Aina ya 2 ya 6×2 ,unajua mpaka nimekuchukia, awesome and Thanks
Technician naomba umalizie hiyo Aina ya Pili ya 6× 2, pleaseKuna aina mbili za 6x2, mid lift, na tag axle , mid lift ni ile ambayo diff ipo nyuma, hizi gari ni kwa ajili ya barabara nzuri tu hazitaki shurba