Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umemaliza kila kitu....sentence bora sanaScania ni gari, Howo ni toy kubwa barabarani
...hii kila kitu bila trailer ni 105mil included taxKwa anayejua Agent wa hizi Howo za kichina HOWO please anijulishe .Awe Dar please huyo Ajent. View attachment 767027
Ubarikiwe mkuu wanguGari zote hizo zina faida yake na hasara pia.kwa ubora ni scania lakini hata hizo faw, howo nazo ni nzuri tena ni economy kwenye fuel na spare zake ni bei ya kawaida tu. Hapo ni wewe tu na nguvu yako , mchina utapata mpya kabisa lakini scania mara nyingi bongo tunanunua used. Kitu kipya ni kipya tu mkuu itakulipa fadhila kama ikapata mtunzaji mzuri. Na kama mapenzi yapo kwa scania basi nakushauri anza na 320 hutojutia.
Naona nitanunua tuu Scania 124 ya mwaka 2004 ushuru wake Kwa TRA NI MILIONI 19 ,Na hicho kichwa kichwa ambacho Ni used mpaka kifike dar Ni Milioni 25 mkuuUbarikiwe mkuu wangu
walahi wabongo wana dharau....khaa.Scania ni gari, Howo ni toy kubwa barabarani
Nunua Howo kaka acha kusikiliza maneno ya watu ambao wengi nna uhakika hawajawahi fanya hiyo biahsara.Asanteni Kwa MAWAZO yenu Wana GT NIMEACHANA NA HUU MPANGO WA KUNUNUA KICHWA CHA HOWO. NIMECHUKULIA USHAURI WENU KWA MAKINI NA NIMEGUNDUA WATU WENGI HAPA JF WAMENISHAURI NICHUKUE HICHO KICHWA CHA SCANIA NA NDICHO HICHO NANUNUA WANANDUGU GT
ASANTENI SANA ,
Ukikuta scania ipo juu ya mawe jua imefanya kazi miaka mingi wakati huo kumbuka ilikuja ikiwa second hand hiz za kichina zimekuja juzi tu kiukweli sio nzuri.Ok mkuu Nimekuelewa, Ni Scania ngapi umeshaona ziko juu ya mawe na Howo ngapi umeshaziona ziko juu ya mawe ?
SCANIA :JUU YA MAWE NYINGI
HOWO : JUU YA MAWE HAMNA KABISA .
MKUU ELEWA IT IS IMPOSSIBLE KUNUNUA KICHWA CHA SCANIA MPYA
LAKINI UWEZO WA KUNUNUA KICHWA CHA HOWO UPO KABISA NA UNAPATA WARRANTY MIAKA 4 ,SCANIA USED MKUU HAINA WARRANTY IKIFA NA KWISHA HABARI YAKO ,WARRANTY MIAKA 4 SI UMESHARUDISHA HELA YAKO MAN .Ni wazo tuu .
Pole mkuu .Yaani nimecheka na kukuonea huruma .kaka kwani ubavu unaendesha gari kaka ,by the way asante sana mkuu nimeachana na hayo matoy ya hao watu wenye macho madogo mkuu .Tatizo ya gari ya mchina kama hiyo HOWO sio imara kinachokera zaidi mfano mzuri ukitoka hapo Dar ukifika hapa Tunduma ubavu wote wa kushoto na mkono pamoja na mguu wa kulia utakoma kwa maumivu coz gia zake ni za cable hazitumii upepo (valve) halafu huwezi kuiamrisha ukifanya hivyo ujuage bearing ya kwenye gearbox umeua so chukua scania kama mfuko upo vizuri.
sijaelewa unavosema ya pili kwa nguvu...scania ndio truck ya pili qa kua na nguvu na bora ikiwa nyuma ya volvo ss unafananisha takataka howo na scania...
howo tipa la hp332 nadhani ni milioni 90 mpya..uwingi wa juu ya mawe wa Scania ni kwa sababu ya umri kuwepo sokoni, haimaanishi kwamba hazitengenezeki au spare bei ghali
Howo hazina umri mrefu sokoni ndo maana huzioni nyingi juu ya nawe.
Scania yenye kilometer laki 6 ni sawa sawa na Howo jipya in terms of durability.
Howo huwezi ifananisha hata na Fuso
Umenena mkuu kweli kbsauwingi wa juu ya mawe wa Scania ni kwa sababu ya umri kuwepo sokoni, haimaanishi kwamba hazitengenezeki au spare bei ghali
Howo hazina umri mrefu sokoni ndo maana huzioni nyingi juu ya nawe.
Scania yenye kilometer laki 6 ni sawa sawa na Howo jipya in terms of durability.
Howo huwezi ifananisha hata na Fuso
Sio mapoz ndugu hizo gari huthubutu kuzilazimisha nazjua ukilazimisha safari inaishia hapo hapo tofauti na scania unaiimbisha inakubali kuimba hainaga mashida.Hivi hizi HOWO zina nguvu ya kuvuta mzigo kweli au madereva wake huwa wanafanya mapozi wakati wanapanda milima ?maana huwa nazipita kama zimesimama barabarani...
bora fuso yenye uhakika wa kukaa miaka 12 mbele pamoja na u-mtumba wake, kuliko box linalotembea barabarani ambalo halitafikisha hata kilometer million moja au 6 years ya kuwepo barabarani.howo tipa la hp332 nadhani ni milioni 90 mpya..
fuso fighter hp210 milioni 80 mtumba
kipi bora
Tatizo gear lever ngumu kwa sababu inatumia mfumo wa cable tofauti na scania inatumia upepo (valve) halafu accelerater pedal ni ngumu tofauti na scania unagusa tuPole mkuu .Yaani nimecheka na kukuonea huruma .kaka kwani ubavu unaendesha gari kaka ,by the way asante sana mkuu nimeachana na hayo matoy ya hao watu wenye macho madogo mkuu .