Hoyce Temu kaanza mwaka vibaya

Huu wizi na udanganyifu unarudisha sana Tanzania nyuma. Wachache wanafanya lakini effect inamultiply na incost sana. Ndio maana wenzetu china wananyonga!
 
Yaan wabongo bhana.Miss Temu Kama alifanya kweli ,basi apige kaz chini arudi bongo.Tatizo ni kuwa wabongo huwa hawataki kujiudhuru.
 
Unamaanisha tatizo hapa ni HATUNA NGUVU katika nyanja zote.

Nini kifanyike ili tupate NGUVU.

Tufuate nyayo zao kama alivyoshauri mchangiaji uliejibu hoja yake au tutulie tu mpaka rasilimali zitakapo kwisha HIYO SEHEMU MOJA ili tuanze kula nyama za watu?




Sent from my SO-01J using JamiiForums mobile app
 
Nguvu tunayo tena kubwa tu na ya kutsha kwa sababu mali bado ipo mikononi mwetu kwa kiasi kikubwa, isipokuwa nguvu hiyo inatakiwa kutumika kwa maarifa zaidi. Ni kama ilivyokuwa kati ya Daudi na Goliath
Ahsante sana kwa kuonyesha kuwa haya maswala ya rasilimali za nchi yetu yanakugusa kwa kiwango cha kutosha
 
Achilia mbali kuwa Mtanzania ninatarajia kuwa mzazi pia ninaetamani kesho ya wanangu iwe bora zaidi kuliko leo yangu.

Nina wajibu mkubwa wa kijamii kulinda na kuendeleza usimamizi bora wa rasimali za nchi yetu kwa matumizi endelevu.

Heri ya mwaka mpya mkuu

Sent from my SO-01J using JamiiForums mobile app
 
Siku za nyuma kabla ya kuwa balozi ilikuwa lazima uwe mwajiriwa wa Foreign Affairs; upandishwe madaraja hadi kufikia ngazi ya Balozi. Ilikuwa inachukua muda, Ila mtu anakuwa ameiva.

Siku hizi huo utaratibu ni kama umeachwa; anateuliwa mtu yo yote!!
Ndivyo inavyotakiwa. Kwa mfano, ili kuwakilisha nchi ya Finland kama balozi , ni lazima uwe umefanya miaka kadhaa na kuwa cheo kikubwa huko Ministry of Foreign Affairs. Halafu wanatangaza nafasi zilizo wazi, mnaomba na kufanyiwa usaili.
 
Tanzania mpo tu kijinga kwa vile na nyie Ni member wa UN,unless otherwise sijui Kama mna contribution yeyote zaidi ya kutaja kukopa hata hicho kilichokusanywa kwa ajili ya maendeleo....hamna shida mtanzania wenzetu akisolve matatizo yaje
UNDP sio ya wazungu. Ni ya Dunia nzima Tanzania ikiwemo. So Kama ameiba Basi amaibia Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…