Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina 100000 mkuu180,000Tsh
Mahali : Mbezi Mwisho
Condition : Used but NEW haina mchubuko wowote ule.
Karibu
Ikikupendeza 140,000/= tuonane kesho,RAM 2GB
Processor (intel) DUO CPU 1.40GHZ
HDD 100GB
WINDOW 7 installed
MODEL : eliteBook 2530p
Bei: 180,000
DVD WRITER
Battery TIME up to 4HRS
View attachment 1167041View attachment 1167042View attachment 1167043View attachment 1167044View attachment 1167045
Yaan 140,000/= ndo kushuka Sana?yes mkuu ipo na Adapter yake..ila umeshuka sana Fanya 150,000 /=
Hello,HP eliteBook
Haya bana,ANGALIZO:
SIFANYI DELIVERY ya mzigo kwenda popote,biashara zote zinafanywa OFISINI kwangu na si OFISINI kwa mteja,kwa wale wateja mliopo DAR endapo utashindwa fata mzigo ofisini basi tafuta mtu unaemwamini mtume aje yeye.
kama utashindwa vyote hivyo basi itakubidi uletewe mzigo hadi ofisini kwako au nyumbani kwako kwa gharama ya usafiri JUU yako..sh.2000 (elfu mbili) ambayo utaituma kabla na sio baada ya kuletewa.
Kwa yeyote atakae ona kutuma 2000 ni ngumu atatapeliwa basi Namshauri atafute mtu anaemuamini amtume aje ofisini tofauti na hapo hamna mtu/mteja nitakae mletea LAPTOP bila kutanguliza nauli.
Nichek kwa 0783 662495hp EliteBook BADO IPO