SOLD: HP Elite Book inauzwa

SOLD: HP Elite Book inauzwa

ANGALIZO:

SIFANYI DELIVERY ya mzigo kwenda popote,biashara zote zinafanywa OFISINI kwangu na si OFISINI kwa mteja,kwa wale wateja mliopo DAR endapo utashindwa fata mzigo ofisini basi tafuta mtu unaemwamini mtume aje yeye.

kama utashindwa vyote hivyo basi itakubidi uletewe mzigo hadi ofisini kwako au nyumbani kwako kwa gharama ya usafiri JUU yako..sh.2000 (elfu mbili) ambayo utaituma kabla na sio baada ya kuletewa.

Kwa yeyote atakae ona kutuma 2000 ni ngumu atatapeliwa basi Namshauri atafute mtu anaemuamini amtume aje ofisini tofauti na hapo hamna mtu/mteja nitakae mletea LAPTOP bila kutanguliza nauli.
Hello,

Ina ofisi ya kuuza laptop?
Au ni hiyo moja tu?
 
hp ELITEbook Bado ipo, bei 180,000
 
Back
Top Bottom