The Only Kilo
JF-Expert Member
- Jul 16, 2010
- 352
- 87
Nimeibiwa laptop aina ya hp hapa bukoba mjini byekera maeneo ya kasarani. Ina window 8.1 pro kwa aliyeiona au kuichukua nitext 0715 276 275 au 0765 276 275. Hasante kwa upendo na kujali. Pia naomba msaada wa kisheria kwa kua namshukia jirani kwa asilimia mia moja