Computer4Sale Hp laptop core i7 1 Tb for sale

mkuu august nitahitaji mtambo kama huu. naamini hii itakuwa imeuzwa. tuwasiliane.

note: hdd isiwe chini ya tb 1 na lau ram 8+ na number keys za pembeni (pale kulia)

Nipe no inbox , Ntakupa direct call hiyo August ...
 
Hiki chuma kitamu, mwisho ngapi?
 
Sio kweli sema tu pesa ulonayo muelewan kwa specs hizo kama haina tatizo ni bei nafuu na sawa pia kwa USED

Kwema mkuu ? ile Ssd 256 niliyochukua kwako bado iko fresh sana , naamini sijakosea username ...!
 
Kwema mkuu ? ile Ssd 256 niliyochukua kwako bado iko fresh sana , naamini sijakosea username ...!

Kwema kabisa mzee
Daah nimekukumbuka mkuu nimefika mpk mlangoni kupitia google maps baada kunitumia LOCATION pamoja mkuu sikujua kama watumia hii ID
Hata ile yako iko vizuri pia nilomuuzia sijapata malalamiko pamoja sana
 
nahitaji ssd 512gb kama unayo ni pm mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…