Computer4Sale HP laptop inauzwa Arusha

Computer4Sale HP laptop inauzwa Arusha

Michael Amon

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
8,768
Reaction score
3,622
Laptop aina ya HP ProBook 4540s inauzwa Arusha. Laptop hii ina sifa zifuatazo:

Specifications

Processor:
Intel core i3 @ 2.4Ghz
RAM: 4 GB
Hard Disk: 500 GB
Operating System: Windows 10

Laptop hii bado ni mpya kabisa imetumika miezi 6 tu. Body ya laptop hii kama unavyoona kwenye picha ni metal ambayo ni imara na haipati scratch kirahisi. Pia laptop hii ina fingerprint reader kwa ajili ya ku-login kwenye PC yako badala ya password.

HP.jpg


chikatake73-img1200x896-1509712897dc81m923570.jpg


BEI: 550,000
Mawasiliamo: 0785884221 au mikeyamon@gmail.com
 
Muwe mnazingatia na zama kabla hamjapanga bei ya kuuza...
Chukua 300k nitume mtu muwasiliane.
 
Muwe mnazingatia na zama kabla hamjapanga bei ya kuuza...
Chukua 300k nitume mtu muwasiliane.

Hiyo bei haifai mkuu. Kumbuka hii laptop imetumika miezi 6. haina hata single scratch na ina processor ya intel core i3 na sio duo core.
 
Back
Top Bottom