Naomba kueleweshwa kuhusu ssd, tofauti yake na hdd.ingekua SSD tungeongea business. Lakin HDD hapana, zishapitwa na wakati.
Like a memory stick, there are no moving parts to an SSD. Rather, information is stored in microchips. Conversely, a hard disk drive uses a mechanical arm with a read/write head to move around and read information from the right location on a storage platter. This difference is what makes SSD so much faster.Naomba kueleweshwa kuhusu ssd, tofauti yake na hdd.
Nimeona laptop zenye ssd zinakuwa na storage capacity ya 32,64 au 128 gb naona ni ndogo sana inakuwaje hapo?
Like a memory stick, there are no moving parts to an SSD. Rather, information is stored in microchips. Conversely, a hard disk drive uses a mechanical arm with a read/write head to move around and read information from the right location on a storage platter. This difference is what makes SSD so much faster.
Nishachoka aise na ushamba wako wa SSD...it looks like unataka utangaze duka lako linalouza SSD coz this is the fourth time unapost kwenye thread yangu nyingine tofaut kuhusu SSD.....unasema zimepitwa wakati, wakati SSD sio jambo jipya pia stop misleading watu HDD itakuepo kwenye trend na itaendelea kuwa the most dominant drive kwenye mauzo kwa sababu ya affordability yake.....Btw ningeuza laptop yenye 1tb ya SSD hata wewe najua usingeaffordingekua SSD tungeongea business. Lakin HDD hapana, zishapitwa na wakati.
Ni kweli kabisa.Nishachoka aise na ushamba wako wa SSD...it looks like unataka utangaze duka lako linalouza SSD coz this is the fourth time unapost kwenye thread yangu nyingine tofaut kuhusu SSD.....unasema zimepitwa wakati, wakati SSD sio jambo jipya pia stop misleading watu HDD itakuepo kwenye trend na itaendelea kuwa the most dominant drive kwenye mauzo kwa sababu ya affordability yake.....Btw ningeuza laptop yenye 1tb ya SSD hata wewe najua usingeafford
Acha tu aise huyu 'dada' anajikutaga mjuaji sana ni kama thread yangu tofaut ya 4 kana sio ya 5 zile zingne nauzaga Transcend na toshiba ext.hdd....unaona anakuja eti 'hdd old fashioned sijui atakaenunua ataumia, kuna duka pale blah blah blah linauza'Ni kweli kabisa.
Nadhani HDD itabaki dominant kwa miaka tele mbeleni.
Btw, ni bora umetoa ya moyoni[emoji16]
Laptop yako piece of junk pole sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii imefanana kabisa na laptop yangu HP Envy Touchsmart 15. Piece of junk.
HDD itakuepo kwenye trend na itaendelea kuwa the most dominant drive kwenye mauzo kwa sababu ya affordability yake.....Btw ningeuza laptop yenye 1tb ya SSD hata wewe najua usingeafford
Kama huwez nunua laptop ya hvyo what brought you here[emoji23][emoji23] na hii si mara ya kwanza wala ya pili wala unaingia thread zangu zenye tag ya HDD na kuanza mjadala wa ssd....i pity you na ujuaji wako wa kishamba...i really do..Pole sanaKwahiyo "affordability ndio kigezo cha bidhaa kubaki sokoni!!
Hujui kuwa technology inakua kila kukicha, hujui kuwa SSD zinakwenda zinapungua gharama yake itafikia almost equivalent to HDD!!
Hebu google "8GB flash disk price in 1990" kisha linganisha na leo "
Kalagabaho na ujinga wako!!!
Technology is moving very fast.
Mimi kamwe siwezi kununua laptop yenye mechanical moving parts wakati nano technology iko 100 miles ahead!
HP kwa ujumla laptop zao ni takataka. Yangu nilinunua mpya dukani Ughaibuni na inakaa kwenye meza 24/7 lakini baada ya mwaka tu cooling fan ilikufa, ikafuata keyboard na juzi HDD ikazingua na ikabidi nifanye fresh Windows install na nikapoteza kila kitu baada ya Windows restore kugoma. Sitanunua HP tena.Laptop yako piece of junk pole sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Acha tu aise huyu 'dada' anajikutaga mjuaji sana ni kama thread yangu tofaut ya 4 kana sio ya 5 zile zingne nauzaga Transcend na toshiba ext.hdd....unaona anakuja eti 'hdd old fashioned sijui atakaenunua ataumia, kuna duka pale blah blah blah linauza'
Ngoja na mimi nikfunze kituTulia sindano ikuingie. Nakupa elimu. Sikuharibii biashara.
Nenda na wakati.
Nenda na technology.
Nenda na dunia.
Synchronize na technology.
Miaka mitatu mbele hii biashara yako itakua phased out.
Acha ubishi kaka!
Btw tech unayoingelea hata mtoto wa std 7 anaijua there is nothng new hapo!
Uelewa mdogo...look like na wewe umeijua juz juz ssd technology ipo tokea 1991ingekua sio mpya na watoto wanaijua basi huyo mdau kwenye comment #4 hapo juu asingeuliza hilo swali!!!
Narudia kuuliza, "kuna laptop zina gb 32 au 64 ssd vipi kuhusu ufanyajikazi wake?"