SOLD: HP Laptop with 1TB storage for sale

SOLD: HP Laptop with 1TB storage for sale

Status
Not open for further replies.
HP kwa ujumla laptop zao ni takataka. Yangu nilinunua mpya dukani Ughaibuni na inakaa kwenye meza 24/7 lakini baada ya mwaka tu cooling fan ilikufa, ikafuata keyboard na juzi HDD ikazingua na ikabidi nifanye fresh Windows install na nikapoteza kila kitu baada ya Windows restore kugoma. Sitanunua HP tena.
Its depend ulinunua wap? Ughaibun sio guarantee ya kitu kizur
 
Hii ni laptop aisee... sema tu sina pesaa! Ningeinunuaa walahii nadhani For games it fits...
 
Nishachoka aise na ushamba wako wa SSD...it looks like unataka utangaze duka lako linalouza SSD coz this is the fourth time unapost kwenye thread yangu nyingine tofaut kuhusu SSD.....unasema zimepitwa wakati, wakati SSD sio jambo jipya pia stop misleading watu HDD itakuepo kwenye trend na itaendelea kuwa the most dominant drive kwenye mauzo kwa sababu ya affordability yake.....Btw ningeuza laptop yenye 1tb ya SSD hata wewe najua usingeafford
Relax, the "lady" knows nothing but SSD! Hana hoja zaidi ya hiyo! eti "ingekuwa na SSD ningenunua!" but in reality hana hata uhitaji, wabongo sijui kwanini tumejaa na roho za kwanini! Hivi ni lazima uharibu biashara ya mwenzio ndio wewe ufanikiwe?
 
Tulia sindano ikuingie.
Nakupa elimu.
Sikuharibii biashara.
Nenda na wakati.
Nenda na technology.
Nenda na dunia.
Synchronize na technology.
Miaka mitatu mbele hii biashara yako itakua phased out.
Acha ubishi kaka!
We mama ni Malaya??
 
Relax, the "lady" knows nothing but SSD! Hana hoja zaidi ya hiyo! eti "ingekuwa na SSD ningenunua!" but in reality hana hata uhitaji, wabongo sijui kwanini tumejaa na roho za kwanini! Hivi ni lazima uharibu biashara ya mwenzio ndio wewe ufanikiwe?

Mnaniogopa kuni attack direct sababu mshagundua kuwa niko "nondo" kwenye hizo issues za computer hardware.
😀😀😀😀😀😀😀
Niko very updated.
Nawatoa jasho, mnajiuliza how comes najua vitu vingi. Loanisheni bongo zenu hizo, dunia inawaacha.
 
Hahahaaaa! Aisee! What if I say YOU WON A FIGHT, will you feel it in you?
 
ingekua SSD tungeongea business. Lakin HDD hapana, zishapitwa na wakati.
mkuu wewe ni thread ya pili hii naona unaleta ujuaji, kuna sehem nilikuambia inaonekana una akili sana ila hujui jinsi ya kutumia, ZINAKUPOTEZA.
 
Mnaniogopa kuni attack direct sababu mshagundua kuwa niko "nondo" kwenye hizo issues za computer hardware.
😀😀😀😀😀😀😀
Niko very updated.
Nawatoa jasho, mnajiuliza how comes najua vitu vingi. Loanisheni bongo zenu hizo, dunia inawaacha.
Ni sawa na kumuambia Mtumiaji wa Iphone aache kutumia Iphone 5 kwa sababu kuna Iphone X,Xr,Xr Max n.k ,wakati huo huo unayemumbia hana hela ya kununua hizo Latest Brand ,Ujuaji mwingi wakati kuna Consumer Preference,na Budgetary Constraints.
Fala weee[emoji5][emoji5]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom