SOLD: HP Laptop with 1TB storage for sale

Status
Not open for further replies.
Its depend ulinunua wap? Ughaibun sio guarantee ya kitu kizur
 
Hii ni laptop aisee... sema tu sina pesaa! Ningeinunuaa walahii nadhani For games it fits...
 
Relax, the "lady" knows nothing but SSD! Hana hoja zaidi ya hiyo! eti "ingekuwa na SSD ningenunua!" but in reality hana hata uhitaji, wabongo sijui kwanini tumejaa na roho za kwanini! Hivi ni lazima uharibu biashara ya mwenzio ndio wewe ufanikiwe?
 
Tulia sindano ikuingie.
Nakupa elimu.
Sikuharibii biashara.
Nenda na wakati.
Nenda na technology.
Nenda na dunia.
Synchronize na technology.
Miaka mitatu mbele hii biashara yako itakua phased out.
Acha ubishi kaka!
We mama ni Malaya??
 
Relax, the "lady" knows nothing but SSD! Hana hoja zaidi ya hiyo! eti "ingekuwa na SSD ningenunua!" but in reality hana hata uhitaji, wabongo sijui kwanini tumejaa na roho za kwanini! Hivi ni lazima uharibu biashara ya mwenzio ndio wewe ufanikiwe?

Mnaniogopa kuni attack direct sababu mshagundua kuwa niko "nondo" kwenye hizo issues za computer hardware.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Niko very updated.
Nawatoa jasho, mnajiuliza how comes najua vitu vingi. Loanisheni bongo zenu hizo, dunia inawaacha.
 
Hahahaaaa! Aisee! What if I say YOU WON A FIGHT, will you feel it in you?
 
ingekua SSD tungeongea business. Lakin HDD hapana, zishapitwa na wakati.
mkuu wewe ni thread ya pili hii naona unaleta ujuaji, kuna sehem nilikuambia inaonekana una akili sana ila hujui jinsi ya kutumia, ZINAKUPOTEZA.
 
Ni sawa na kumuambia Mtumiaji wa Iphone aache kutumia Iphone 5 kwa sababu kuna Iphone X,Xr,Xr Max n.k ,wakati huo huo unayemumbia hana hela ya kununua hizo Latest Brand ,Ujuaji mwingi wakati kuna Consumer Preference,na Budgetary Constraints.
Fala weee[emoji5][emoji5]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…