Computer4Sale HP pavilion 360° inauzwa

Computer4Sale HP pavilion 360° inauzwa

AfroCodes

Member
Joined
Jan 27, 2017
Posts
79
Reaction score
23
HP pavilion 360°

RAM 4GB
ROM 128GB
Kwa specifications zaidi angalia pics

mapungufu iliyonayo :-
1.Betri aidumu na chaji
2.Screen imecrack kidogo hivyo screentouch haifanyi kazi eneo hilo
3.Mkono mmoja umeachia hivyo aizunguki 360° kamili (inarekebishika)

Nahitaji 380,000/=

Ipo Kigamboni

0764 966 340
 
Attachments

  • IMG_20230219_110747_849.jpg
    IMG_20230219_110747_849.jpg
    54.4 KB · Views: 6
HP pavilion 360°

RAM 4GB
ROM 128GB
Kwa specifications zaidi angalia pics

mapungufu iliyonayo :-
1.Betri aidumu na chaji
2.Screen imecrack kidogo hivyo screentouch haifanyi kazi eneo hilo
3.Mkono mmoja umeachia hivyo aizunguki 360° kamili (inarekebishika)

Nahitaji 380,000/=

Ipo Kigamboni

0764 966 340
Specifications
IMG_20230219_110205_987.jpg
 
Battery mbovu!!
Touch mbovu!!
Rotation mbovu!!
Obviously zote zinahitaji replacement!
Naunga mkono hoja, hii ishakua screpa!!

Bora mtu ananue mpya tu maana hayo marekebisho yatamrudisha kulekule karibia na mpya!! Afu ROM 128gb imekua simu hiyo?
 
Vilivyoaribika vyote ni vya ziada, screentouch utatumia keyboard, rotation sio lazma, kama storage ni ndogo utatumia external ... kama ilivyo inatumika vizuri tu
 
Vilivyoaribika vyote ni vya ziada, screentouch utatumia keyboard, rotation sio lazma, kama storage ni ndogo utatumia external ... kama ilivyo inatumika vizuri tu
Mpya ni bei gani na refurb ni bei gan!
 
Kasoro zilizopo ni kwasababu ilianguka si kwamba imetumika mda mrefu, mashine yake bado mpya kabisa, siuzi kwaajili ya screper namuuzia mtu aitumie
 
Back
Top Bottom