sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Mkuu hiki Ki pc kina hard disk ya 1 terabyte hadi sasa nimetumia GB 500 tu yani nusu ya hard disk, hapo nipunguze zaidi au....hapo kwenye Ku heat sijapata hili tatizo mkuu....sifa zake nyingine INA processor ya core i5 kizazi cha saba, na ram ddr4 8gb,Hivyi vi-pc havitaki mzigo mzito i know lazima umeijaza vitu ni ajabu.
.
Do this tafuta External tunza vitu vyako heavy humo.
Alafu muache kununua hivyo vi-pc vina heat sana
Sir naongea kwa uzoefu, specification za iliyokuwa yangu ni zaidi ya hiyo uliyonayo yangu ilikuwa iCore 7! And niliiuza kwa bei chee kwa matatizo kama haya.Mkuu hiki Ki pc kina hard disk ya 1 terabyte hadi sasa nimetumia GB 500 tu yani nusu ya hard disk, hapo nipunguze zaidi au....hapo kwenye Ku heat sijapata hili tatizo mkuu....sifa zake nyingine INA processor ya core i5 kizazi cha saba, na ram ddr4 8gb,