Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,240 Dec 22, 2014 #1 Inasemekana huu ugonjwa unashika kasi sana Tanzania. Wataalamu mnaweza kutujuza zaidi kuhusu kirusi hiki?
Inasemekana huu ugonjwa unashika kasi sana Tanzania. Wataalamu mnaweza kutujuza zaidi kuhusu kirusi hiki?
Freeland JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 14,481 Reaction score 10,227 Dec 22, 2014 #2 HPV and Cancer - National Cancer Institute
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,368 Dec 28, 2014 #3 Speaker said: Inasemekana huu ugonjwa unashika kasi sana Tanzania. Wataalamu mnaweza kutujuza zaidi kuhusu kirusi hiki? Click to expand... HPV 16 sidhani kama ni ugonjwa bali ni kirusi kijulikanacho kwa jina la Human Papilloma Virus 16 na ni high risk virus katika usababishaji wa cancer sana sana Cancer shingo ya kizazi na nyinginezo So to say the virus is ocongenic
Speaker said: Inasemekana huu ugonjwa unashika kasi sana Tanzania. Wataalamu mnaweza kutujuza zaidi kuhusu kirusi hiki? Click to expand... HPV 16 sidhani kama ni ugonjwa bali ni kirusi kijulikanacho kwa jina la Human Papilloma Virus 16 na ni high risk virus katika usababishaji wa cancer sana sana Cancer shingo ya kizazi na nyinginezo So to say the virus is ocongenic