Hpv 16

Hpv 16

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
6,324
Reaction score
2,240
Inasemekana huu ugonjwa unashika kasi sana Tanzania.
Wataalamu mnaweza kutujuza zaidi kuhusu kirusi hiki?
 
Inasemekana huu ugonjwa unashika kasi sana Tanzania.
Wataalamu mnaweza kutujuza zaidi kuhusu kirusi hiki?

HPV 16 sidhani kama ni ugonjwa bali ni kirusi kijulikanacho kwa jina la Human Papilloma Virus 16 na ni high risk virus katika usababishaji wa cancer sana sana Cancer shingo ya kizazi na nyinginezo

So to say the virus is ocongenic
 
Back
Top Bottom