Yeezus 2Naona umekuja na ID nyingine.
ID yake nyingine ni Yeezus 21.Huyu jamaa ni member mwenye kisebengo kuliko wote humu Jf
2.mada zake ni za kitoto hazina mantinki
3. Anapenda sifa kama harmorapa na nahisi ni ndugu take
Ushauri nirkuwa naomba kwa wale staff members wafanyepango huyu jamaa arudishwe Facebook anatutia aibu humu
shoga mmoja anajiuza jamii forumuyu jamaa naona anaongerewa sana ni nani uyu?
Huyu huwa ananishangaza sana , na yule mwingine padri mchuruko.Aione Deo kisanduku kwenye jalada
HahahaHR666 on air ..... sup sio mwisho wa chuo...
Unajichetuauyu jamaa naona anaongerewa sana ni nani uyu?