Mimi ni job seeker lkn nipo kijijini nalima mpunga hivyo mara nyingi simu yangu inakuwa mbali maana mazingira ya kaz ni maji tu hivyo naogopa kuilowanisha simu. Jana nilipigiwa simu mchana na sikuisikia,nilikuta mised call nikaamua kutuma msg "hallow habari?",akareplay "sory am busy now...". Nkaamua kupga akaniambia yeye ni HR wa kampuni fulan na alikuwa anataka kuniita kwenye interview kwa kuwa sikupokea simu basi tena hakuna chance,nikajaribu kumueleza,.akasema hvyo ndivyo akakata simu,je hyo ni halali kweli?

asante sana kwa ushauri na mawazo yenu wote,. Pia hata wewe Kigogo nakushukuru kwa kuchangia maana ili jamii ikamilike lazima matahira kama wewe Kigogo wawepo.
sasa mimi na wewe taahira nani?simu ya mkononi badala ya kutembea nayo unaweka juu ya mafiga unakaa unakunywa ulanzi...nani akupe kazi ..kaa lima mjini mnakuja kutujazia foleni tu hapa