Honedtly coach wa Argentina ndio wa kulaumiwa. Anawaacha Dybala na Di Maria bench kny mechi muhim kama hii.
Messi analaumiwa bure tu, maana hata achezeje, hana support kabisa. Leo muda mwingi amekua akienda kupokea mipira kutoka kwa mabeki kwenye nusu uwanja ya argentina!
I think it's high time he retires from this team!
Sasa mkuu ulitaka acheze vp, bila viungo wa kupokea na kumletea mpira!Messi without his barca team mates
Teh ...
Realy ...[emoji28][emoji28][emoji28]
Dah! Huyu Jamaa Wa Kubembelezwa Ana Bahati Mbaya Sana! Yaani Licha Ya Kubembelezwa Akarudi Bado Ni Mikosi Ya Vipigo Tu!. Kama Ningekuwa Mm Nicngeendelea Kuaibishwa Kiasi Iko Najiengua Tu Namwachia Mbambe Wangu Dah!FT: BRAZIL 2-0 ARGENTINA
Messi ni kama samaki tu, akiwa nje ya maji hana ujanja. Messi nje ya Barcelona Hakuna kituSasa Ronaldo anakujaje hapa?! Come on, be fair to Messi, his national team organisation is just disastrous!
Ndo maana nmesema messiSasa mkuu ulitaka acheze vp, bila viungo wa kupokea na kumletea mpira!
Dah! Huyu Jamaa Wa Kubembelezwa Ana Bahati Mbaya Sana! Yaani Licha Ya Kubembelezwa Akarudi Bado Ni Mikosi Ya Vipigo Tu!. Kama Ningekuwa Mm Nicngeendelea Kuaibishwa Kiasi Iko Najiengua Tu Namwachia Mbambe Wangu Dah!
Tatizo ni politics nyingi kwenye team selection. Kwa mfano kina kipindi Tevez alikuaga juu lakini haitwi, badala yake alikuaga anaitwa Higuain ambaye efficiency yake ilikua next to bashite (0)!Washajaribu kila namna hyo timu yao tu imeshindwa kuconnect ila vipaji kibao
Kweli Mkuu, Utaanzeje Kuwaacha Dybala Na Di Maria Nje. Watu Wenye Vipaji Namna Ile Wanaoweza Kumfanya Chochote Mpinza Muda Wowote, Na Wamabadili Matokeo?Honedtly coach wa Argentina ndio wa kulaumiwa. Anawaacha Dybala na Di Maria bench kny mechi muhim kama hii.
Messi analaumiwa bure tu, maana hata achezeje, hana support kabisa. Leo muda mwingi amekua akienda kupokea mipira kutoka kwa mabeki kwenye nusu uwanja ya argentina!
I think it's high time he retires from this team!
Ni shida mkuu, Messi wanamlaum bure tu. Mpira wa miugiza wa kupiga chenga wachezaji 5 haupo tena.Kweli Mkuu, Utaanzeje Kuwaacha Dybala Na Di Maria Nje. Watu Wenye Vipaji Namna Ile Wanaoweza Kumfanya Chochote Mpinza Muda Wowote, Na Wamabadili Matokeo?
Nipe statics za mechi mkuu
Shemeji ako aligoma kabisa mi kuwasha tv [emoji28]
Et nawapigia watoto kelele
HahahhaNimejaribu kuweka Mkuu zinakaa kiajaajabu, haipendezi.
Tatizo ni politics nyingi kwenye team selection. Kwa mfano kina kipindi Tevez alikuaga juu lakini haitwi, badala yake alikuaga anaitwa Higuain ambaye efficiency yake ilikua next to bashite (0)!
Sasa hivi kocha anajaribu kuwapa nafasi vijana lakini hii sio gemu ya majaribio!
Na recently Icardi japo ni wamoto sana ila haitwi kwe timu
Amunike atawafaa !!Yeah, ni aibu. Inabidi wampe timu Diego Simeone (kocha wa Atletico), ndio anaweza kuwaokoa maana yy ni kazi tu.
Brazil wa kawaida sana Atmosphere ya mashabiki na Home advantage inawabeba sana Labda CHILE atolewe na PERU vinginevyo kwa mpira huu Brazil hamfungi Chile.