Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilichofurahi ni kupunguza over dependence kwa Neymar
Alipopigwa saba mbona hukusema huu ujinga wakoBrazil wa kawaida sana Home advantage inawasaidia tu
Ningekutukana hilo tusi mkuu ngoja nipite kimya tu.Alipopigwa saba mbona hukusema huu ujinga wako
Tukana tu mkuu usibaki na nyongo huwa inaacha maradhi mwiliniNingekutukana hilo tusi mkuu ngoja nipite kimya tu.
Hahahahahahahahah Relax brother yameishaTukana tu mkuu usibaki na nyongo huwa inaacha maradhi mwilini
Yaani mtu anajiita Yesu !JESUS mashindano haya ameonyesha kiwango sana
Nachoshukuru Mungu ni yule boya neymar kuumiaBrazil kwa sasa ina kikosi kizuri, ukiangalia kikosi kinachoanza na wale walio sub tofauti ya viwango ni ndogo.
Mfano;
Alison vs Ederson
Casemiro vs Fernandinho
Everton vs Willian
Marquinhos vs Miranda
G. Jesus vs Richarlison
Hapo bado kina David Neres, Filipe Luis, Allan n.k
Pia kwa sasa wamefanikiwa kuwa na chemistry nzuri, wanacheza kama timu.
Wasiwe wanamwitaAnagharimu timu
Chile wanacheza mpira wa msuli balaa,Brazil wa kawaida sana Atmosphere ya mashabiki na Home advantage inawabeba sana Labda CHILE atolewe na PERU vinginevyo kwa mpira huu Brazil hamfungi Chile.
Nilichofurahi ni kupunguza over dependence kwa Neymar
Ni jina zuri miongoni mwa majina boraYaani mtu anajiita Yesu !
Kwani hiyo ya chile hawatachezea home?Brazil wa kawaida sana Atmosphere ya mashabiki na Home advantage inawabeba sana Labda CHILE atolewe na PERU vinginevyo kwa mpira huu Brazil hamfungi Chile.
Hahahahahahahahah watachezea Kwenu sebuleniKwani hiyo ya chile hawatachezea home?
Nimeuliza tu nijue home advantage inakuaje kwa argentina tu na sio kwa chile mimi nadhani wameshinda kwa uwezo na hata wakipoteza kwa chile ni kwa uwezo pia haijalishi watashangiliwa vipiHahahahahahahahah watachezea Kwenu sebuleni
👍Tatizo ni politics nyingi kwenye team selection. Kwa mfano kina kipindi Tevez alikuaga juu lakini haitwi, badala yake alikuaga anaitwa Higuain ambaye efficiency yake ilikua next to bashite (0)!
Sasa hivi kocha anajaribu kuwapa nafasi vijana lakini hii sio gemu ya majaribio!
Chile 0 Peru 2 dakika ya 61 mpaka sasaChile wanacheza mpira wa msuli balaa,
Hapo ni ufundi wa kocha aiseeBall Possession anaongoza Chile lakini kipigo anapigwa yeye,kweli mpira magoli aiseee.