HT: BRAZIL 1 - 0 ARGENTINA

Nachoshukuru Mungu ni yule boya neymar kuumia
 
Brazil wa kawaida sana Atmosphere ya mashabiki na Home advantage inawabeba sana Labda CHILE atolewe na PERU vinginevyo kwa mpira huu Brazil hamfungi Chile.
Chile wanacheza mpira wa msuli balaa,
 
Nilichofurahi ni kupunguza over dependence kwa Neymar

Mkuu sikuzote injury ya Neynar ndiyo mafanikio ya Brazil...

Jamaa akiwa fit ni lazima acheze ambapo Firmino au Jesus mmoja wapo lazima aanzie Bench jambo linalopelekea Meymar kuishia kujiangusha huku mipira yote yakielekezwa kwake na timu kukosa ushindi.
 
Brazil wa kawaida sana Atmosphere ya mashabiki na Home advantage inawabeba sana Labda CHILE atolewe na PERU vinginevyo kwa mpira huu Brazil hamfungi Chile.
Kwani hiyo ya chile hawatachezea home?
 
Hahahahahahahahah watachezea Kwenu sebuleni
Nimeuliza tu nijue home advantage inakuaje kwa argentina tu na sio kwa chile mimi nadhani wameshinda kwa uwezo na hata wakipoteza kwa chile ni kwa uwezo pia haijalishi watashangiliwa vipi
 
👍
 
Ball Possession anaongoza Chile lakini kipigo anapigwa yeye,kweli mpira magoli aiseee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…