Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Report ya UN inambana mfadhili wao hivyo wameamua kukubali yaisheWaasi wa m23 wameanua kuondoka maeneo ya richuru uko goma kwa kile kinachodaiwa kwamba ni kuiheshimu jumuia ya nchi za Afrika mashariki, lkn Mimi sioni km hilo litatekelezwa kwa muda mrefu na m23.