Htimaye waasi wa M23 waamua kuondoka

Waasi wa m23 wameanua kuondoka maeneo ya richuru uko goma kwa kile kinachodaiwa kwamba ni kuiheshimu jumuia ya nchi za Afrika mashariki, lkn Mimi sioni km hilo litatekelezwa kwa muda mrefu na m23.
Report ya UN inambana mfadhili wao hivyo wameamua kukubali yaishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…