Hivi sisi kama watanzania wenye serikali inayoongozwa na rais tunafanya nini?Mpuuzi kama huyu aliyeandika ujinga kama huu anashindwa kupatikana na kuadhibiwa kisheria au hata na wananchi wenye hasira?Tumetukanwa kiasi gani na tunakaa kimya?Au sisi ni mpaka pale tu Ze Utamu inapogusa maslahi ya watawala ndio tufanye kazi?Mjinga kama huyu hakutakiwa awe anapumua mpaka dakika hii kwa kuthubutu kuwatusi watu zaidi ya milioni 40.