http://uncyclopedia.wikia.com

http://uncyclopedia.wikia.com

Hivi sisi kama watanzania wenye serikali inayoongozwa na rais tunafanya nini?Mpuuzi kama huyu aliyeandika ujinga kama huu anashindwa kupatikana na kuadhibiwa kisheria au hata na wananchi wenye hasira?Tumetukanwa kiasi gani na tunakaa kimya?Au sisi ni mpaka pale tu Ze Utamu inapogusa maslahi ya watawala ndio tufanye kazi?Mjinga kama huyu hakutakiwa awe anapumua mpaka dakika hii kwa kuthubutu kuwatusi watu zaidi ya milioni 40.
 
Mi kaniacha hoi pale aliposema MILITARY CONSISTS OF 38548924 UNITS OF POPOBAWA AIRCRAFTS
 
Huyu jamaa aliyetengeneza hii kitu anastahili adhabu ya kifo. Nashauri wenye mamlaka wamtafute kwa bidii kwani anachafua image ya taifa. Pili nashauri moderator aiondoe anayetaka kusoma asipitie huku inatia kichefuchefu!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom