Hii ni zike F-5, uti wa mgongo wa jeshi la anga la KDF, zilikua 6, moja ndio hiyo Alshabab wameitungua na rumani alishindwa hata kutoka, inasemekana kiti kiligoma kujifungua kutokana na kutu, RIP rubani.
Tuliza mshono, tunawasaidia ili serikali yenu inunue vifaa vipya vizuri kuokoa maisha ya wakenya, muache kuagiza used weapons, ona sasa Alshabab hawana SAM, iweje waweze kuangusha ndege ya kivita na kumuua rubani?