joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hivi Alshabab Sana SAM?, iweje walifanikiwa kuidungua ndege ya kivita kwa kutumia AK47?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alshabab ISIS main supporter and official spokespersonNi zile cobras ama zile za Jordan?
Hii ni zike F-5, uti wa mgongo wa jeshi la anga la KDF, zilikua 6, moja ndio hiyo Alshabab wameitungua na rumani alishindwa hata kutoka, inasemekana kiti kiligoma kujifungua kutokana na kutu, RIP rubani.Ni zile cobras ama zile za Jordan?
Tuliza mshono, tunawasaidia ili serikali yenu inunue vifaa vipya vizuri kuokoa maisha ya wakenya, muache kuagiza used weapons, ona sasa Alshabab hawana SAM, iweje waweze kuangusha ndege ya kivita na kumuua rubani?Alshabab ISIS main supporter and official spokesperson
Soma vizuri hiyo article utaelewaRubani gani? Hebu weka video hapa