son of king john2
Senior Member
- Jan 11, 2014
- 131
- 33
..anapimwa kwa kila kitu, kuanzia mambo mwalimu aliyofundisha na mambo ambayo ajafundisha lakini mwanafunzi alitakiwa ajue kulingana na malengo ya somo..
au ulitakaje?
Hmm! Mkuu unachokiongea ni kweli kabisa! Utamkuta mwengine anafundisha kimkato kwa kuwatajia vipengele tu (kama Open University vile!), subilia mtihani wake ukione chamoto!
Inashangaza kwa Mhadhiri wa chuo kikuu ambaye kila siku anakuja darasan na kuanza kufundisha haraka haraka tena kwa kasi za ajabu......yaaani anasoma kwenye kitabu(densa) kisha baada ya hapo ni mwenye spidi ndo ataelewa kwa kuwa atakuwa amenakili kilichosemwa.ila utashangaa siku ya mtihani. Yan hiyo siku utakuta anakuja on time.Ingia kwenye mtihani yami utakuta misamiati iliyotumika ni ya ajabu hata yeye hakuwai kuitumia...swali hapa ni je mtu anapimwa kwa kuulizwa alichosoma au anapimwa kwa kufumbua misamiati anayoijua mwalimu......??
. sidhani kama huu ni mfumo wa kumpima mwanafunzi ambaye anaandaliwa kwenda kuwa mfanyakazi......mtu huyu anatakiwa kuandaliwa namna gani ya kupambana na changamoto kazini lkn utashangaa leckecher mwenye spid ya kusoma densa. anakwambia kwenye mtihan wangu hakuna atayepata zaid ya alama fulan inamana hizo alama zinazobaki kaziandaa kwa ajili ya nan na ni kwa nn
Kwani nawe upo chuo?ama ulipita?"Leckecher!" ndio nini mkuu?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Chuo gani hicho.
Kwani nawe upo chuo?ama ulipita?"Leckecher!" ndio nini mkuu?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sijui kama unayajua madhara ya hicho ukizungumzacho au la!mwanachuo hatafuniwi kila kitu...lecturer anakupa mwongozo tu...yaliyobaki utayajua wew mwenyew....wanaotafuniwa topic nzima ni primary na secondary...na mitihan inapima upeo wako wa kufikiria sio jinsi gan unaweza kukariri uliyofundishwa klas