kwa mtazamo wangu
Elimu ya chuo kikubwa ni kumpa mwanachuo outline itakayomfanya asome/atafiti na kuwa na upeo mkubwa zaidi hata kuliko kile alichofundishwa. Na ndio maana ukifuatilia ugunduzi mwingi mkuwa duniani hutokea kwenye vyuo vikubwa na hutokea zaidi kwa wana vyuo kuliko lectures.
Huu mfumo wetu tulio zoea wakufundishwa kama sekondari, ndio unapelekea wanavyuo wengi wakitoka wote wanafikiria kuajiriwa...wkati ajira zenyewe ni chache
Niliwahi kushuhudia kwenye Chuo kimoja kikubwa cha private (jina nalihifadhi), lecturer maarufu anayesifika, anafundisha somo la mazingira; zaidi ya robo ya muda anaelezea kwa kiswahili....kama form one; niliogopa sana