Hua unatulizaje Hasira.??

Hua unatulizaje Hasira.??

Naenda bar kunywa..nikilewa nakua mtata kulipa hadi meneja aitwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nlikuwa nakutafta sana ww juzi sa 2 usku umekimbia na mkwanja wangu kaunta kalalamika sasa jiandae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mnaz kwa mkono m1 duh[emoji23][emoji23][emoji23]
Kukasirika kunakusogeza karibu na mauti. Nilivyogundua hili nimejitahidi sana nisikasirike, zamani ilikua kila nikikasirika naende kupiga gita.

Nilipohama eneo jingine sikukuta gita hivyo siku hizi nikikasirika hua napanda mnazi kwa mkono mmoja na hasira zinakata
 
Back
Top Bottom