miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Unawezaje kujiangalia Keene kioo?
Nna miaka mitano sasa sijawai kujiangalia kwene kioo
Mkuu mimi nakasirishwa SanaHujakasirishwa wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nlikuwa nakutafta sana ww juzi sa 2 usku umekimbia na mkwanja wangu kaunta kalalamika sasa jiandae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naenda bar kunywa..nikilewa nakua mtata kulipa hadi meneja aitwe
Kukasirika kunakusogeza karibu na mauti. Nilivyogundua hili nimejitahidi sana nisikasirike, zamani ilikua kila nikikasirika naende kupiga gita.
Nilipohama eneo jingine sikukuta gita hivyo siku hizi nikikasirika hua napanda mnazi kwa mkono mmoja na hasira zinakata
achana na matumiz ya vidonge ...vina kemikali ambazo n hatar kwa afya yako,,ww ukiwa na hasira kata maji lita 2 hasira zote znayeyukanikiwa na hasira nameza cozepam 1 tablet nakuwa kawaida tuu
Hahha!!Utakuja kujikuta unafua hadi TV nguo zikiisha
Hahha!!
Niache hukoo
HongeraNalea
Thanks mkuuHongera