HUAWEI imerudi kwa kasi sokoni

HUAWEI imerudi kwa kasi sokoni

Kwasasa hiyo simu labda inaweza ikawa ni nzuri kwa wachina wenyewe. Lakini kwa nchi zingine hiyo simu msishoboke nayo kukununua. kwa sababu hiyo simu bado ina tatizo.
Kwa sababu huawei baada kuziiwa na google kutumia system ya android walikuja na system yao inaitwa harmonyos sasa hiyo system inapungufu mengi sana.
Kwanza hiyo simu hauwezi kudownload vitu vingi na hata vile unavyo vidownload baada ya miezi mitatu vinafutika.
 
Kwa hiyo ukitumia Huawei yenye OS yake ndio unakuwa beberu au vipi kiongozi?
Huwawei yenye Harmony os haiwezi officially kuja kwetu huku kwa sie wamatumbi .
Huawei simu anazo uza nje ya china ni android os na hata mwaka huu ni zimetoka kadhaa. Ukisoma terms za youtube whats up n.k utagundua kuwa beberu linapokuja swala la maslahi yake yupo serious sana.
Android ilian:a miaka ya 2008 , imekuwa na kustawi tukiitumia leo hii huwezi kuiacha kwa sababu , hata huyo mchina hakuwahi kufikiri kuwa ingekuja kuwa mwiba kwake.
 
Kwasasa hiyo simu labda inaweza ikawa ni nzuri kwa wachina wenyewe. Lakini kwa nchi zingine hiyo simu msishoboke nayo kukununua. kwa sababu hiyo simu bado ina tatizo.
Kwa sababu huawei baada kuziiwa na google kutumia system ya android walikuja na system yao inaitwa harmonyos sasa hiyo system inapungufu mengi sana.
Kwanza hiyo simu hauwezi kudownload vitu vingi na hata vile unavyo vidownload baada ya miezi mitatu vinafutika.
Umewahi tumia hiyo simu imetoka majuzi tu ?
 
Kwasasa hiyo simu labda inaweza ikawa ni nzuri kwa wachina wenyewe. Lakini kwa nchi zingine hiyo simu msishoboke nayo kukununua. kwa sababu hiyo simu bado ina tatizo.
Kwa sababu huawei baada kuziiwa na google kutumia system ya android walikuja na system yao inaitwa harmonyos sasa hiyo system inapungufu mengi sana.
Kwanza hiyo simu hauwezi kudownload vitu vingi na hata vile unavyo vidownload baada ya miezi mitatu vinafutika.
Simu ndo kwanza inatambulishwa sokoni, we hivo vitu ulivyo download baadae vikafutika iliwezekanaje?
 
Baki na ushamba wako ila mwaka utakapoijua Huawei Inayoshindana na iPhone hutokata tena kusikia habari za iPhone, mpaka mmarekani analia lia halafu we unaleta dharau!!
Vipi ustadhi mbona unakuwa mkali sana sasa je kama ungekuwa Iran si ndio ungenila kabisa jambia..!!😂😂
 
Mmarekani kuna kipindi altilia fitna yule mwanamama mkurugenzi wa huawei kwenye 5G.Sasa mchina kaja tena na huawei yake.

Incase you dont know, huawei devices are still banned in USA. So hii brand itakuja but haitouzwa us
 
Back
Top Bottom