Usikute unatumia Ascend sijui mate 7Kwasasa hiyo simu labda inaweza ikawa ni nzuri kwa wachina wenyewe. Lakini kwa nchi zingine hiyo simu msishoboke nayo kukununua. kwa sababu hiyo simu bado ina tatizo.
Kwa sababu huawei baada kuziiwa na google kutumia system ya android walikuja na system yao inaitwa harmonyos sasa hiyo system inapungufu mengi sana.
Kwanza hiyo simu hauwezi kudownload vitu vingi na hata vile unavyo vidownload baada ya miezi mitatu vinafutika.
Ujumbe unasema imerudi kwa kasi hivyo maana yangu ni kwamba fitina haijaipoteza kampuni.Incase you dont know, huawei devices are still banned in USA. So hii brand itakuja but haitouzwa us
Huu uongo acha kupotosha watu kijanaKwasasa hiyo simu labda inaweza ikawa ni nzuri kwa wachina wenyewe. Lakini kwa nchi zingine hiyo simu msishoboke nayo kukununua. kwa sababu hiyo simu bado ina tatizo.